TANGAZO KUHUSU MALIPO YA ADA

Uongozi wa chuo unapenda kutoa maelekezo ya ulipwaji wa ada kwanzia 01 April 2021 ada zote zitatakiwa kulipwa kwenye Akaunti ya CRDB no 0150206907200 na Uchumi Commercial Bank no 0010200555.

Ada ya mtihani wa Taifa ya Wizara ya Afya kitengo cha mafunzo ilipwe kwenye akaunti hizo ila iwe na pay-slip ya peke yake.

4 thoughts on “TANGAZO KUHUSU MALIPO YA ADA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *